😆😂🤣 very creative. Pool ndio hiyo!
Hahah! Acha tuNa ulivyoshtuka eti oh My God[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aah.. and Salma Hayek!I only like her not them.
😳
Sijui bwawa la kuongea bata hilo, ila ndio lilitumika kumnasa mrembo😆😂🤣 very creative. Pool ndio hiyo!
Mtazamo ila namba hazidanganyi mkuu
Ni kweli Mkuu namba hazidanganyi na unajua ushindani mkubwa kati ya BARCA na Real Madrid. Siku moja wakiwa ugenini kwa Real Madrid Ronaldinho alikanyaga ball la hali ya juu hadi mashabiki wa Real Madrid wakasimama na kumpa standing ovation.
Kama kuna mcheza mmoja mstaafu ambaye ningependa kumuona tena kama alivyokuwa kwenye enzi zake basi ni huyu Ronaldinho.
Huyu mpira ulikuwa unamsujudia na kuwa kama mtumwa ukiwa miguuni mwake 😂😂😂
Naikumbuka hii jamaa alikua na usiku mzuri sana siku hiyo, in short he was a monster on it (Skills and ball control) alikua hakunyimi burudani
Ila Dunia haijapata kumfaidi sana kutokana na ule mzimu ulokua unawaandama wachezaji wa Brazil wa kutokudumu muda mrefu kwenye soccer
😂😂 watoto wa Brazil wanapenda sana bata hao...Kabisa Mkuu halafu huyu pamoja na kuwa na uwezo mkubwa sana kwenye kutandaza ball pia alipenda sana kujirusha hivyo kutukosesha wapenzi wa soka duniani kuendelea kumuona kwa muda mrefu.
Kwa maoni yangu alistaafu mapema sana akiwa bado na uwezo mkubwa ambao angeweza kuutumia kwa miaka mingine 5 hadi 7 kama angekuwa na nidhamu ya hali ya juu.
😂😂 watoto wa Brazil wanapenda sana bata hao...