Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lisibebwe hili suala kwa umaaruf potof wa mtu mmoja kufikiri anaweza kulazimisha suala zito hili kwa nguvu. Masuala ya tiba yana njia zake hasa kwenye “ethics” na wakati mwengine likifanywa kiholela huleta madhara zaidi. Waacheni wabobezi wa masuala ya afya kupanga sera mahsus za ushawish mkubwa wa upimaji wa saratani hii kwa kuelimisha na kutoa wasaa wa mtu kuchagua njia anayoiwafik mwenyewe.
 
Ipo haja ya kuwaelimisha zaidi wanaume juu ya kadhia hii. Ni kupotosha kunasabisha tezi dume na uchunguzi wa vidole pekee lakini lazima tuelewe uchunguzi wa rectum kwa kidole ni rahisi na usio na gharama. Lakini zipo njia nyengine za uchunguzi, hoja kubwa ni kajipime mapema uokoe maisha yako.
 
#HatiFungani

Hati fungani ni aina ya uwekezaji ambao huihusisha serikali na wawekezaji moja kwa moja. Kwa kiingereza zinaitwa premium bonds na kwa ufupi serikali huzitoa hizi bonds na kuziuza kwa wawekezaji huku ikibeba dhamana ya kuwalipa kwa kipindi kilichokubaliwa.
 
#Mathalan

Mfano bond ya dola 1000 serikali inaweza kuitangaza kuiuza kwa dhamana ya Hazina kwa dola 950. Hapa serikali inaweza kupata mapato ya haraka na halkadhalika muwekezaji kupata faida ya uhakika kutokana na dhamana ya Hazina. Uwekezaji huu hauwavutii wengi kutokana na faida ndogo lakini ni wa uhakika zaidi kwa sababu ya dhamana inayotolewa na serikali.
 
#MnunuziMuwekezaji

Mnunuzi wa hati fungani yeye huilipa serikali wakati wa kununua hizi bonds na serikali huja kuwalipa pale zinapowiva kwa maana ya kuwa kile kipindi kilichokubaliana na muwekezaji. Mara nyingi serikali haipati hasara kwa uuzaji wa bonds hizi kwa sababu ya riba inayoweza kuongeza thamani ya bonds hizi ikafika ile thamani ya awali hata kama serikali iliziuza kwa bei ndogo kidogo. Kwa mfano Hazina imeziuza bond ya dola 1000 kwa dola 950 kwa ahadi ya malipo kwa kipindi pengine cha mwaka yaani kuwiva kwake. Ikifika kipindi hicho thamani ya bondi huongezeka na kufidiea ile dola hamsini ambayo serikali iliuza kwa upunguzo.
 
KWELI....
 
#KuwivaKwake

Kuwiva kwa bondi hulipwa yule mnunuzi wa awali ambae ndie “investor”. Na zaidi Hazina ikishauza hizi hati fungani huongeza mapato pale pale baada ya mauzaji na kusaidia fungu lake katika bajeti ya serikali kwa kuufanya mfuko wa hazina kuongezeka. Hii hoja kuwa hati fungani zinasubiriwa ziwive ndio zihesabiwe haina ukweli kwa vile zikishauzwa serikali tayari hupokea fedha na kuwa sehemu ya makusanyo ya mapato ila muwekezaji ndie husubiri kuwiva ili apate ile thamani halisi ya hati hizi kwa vile yeye alizinunua kwa bei punguzo.
 
#WafaidiKaji

Muuzaji na mnunuzi wote wawili wanafaidika, wa kwanza kwa kuongeza mtaji wake katika bajeti na kuweza kufanya matumizi yanayohitajika na wa pili kwa kupata faida kwa kipindi kilichowekwa. Ikiwa fedha hizi zimetangazwa kama kusanyo la serikali maana yake zilikuwa tayari kwa matumizi na ukizingatia bajeti ni ya mwaka 2016/2017 basi hesabu za matumizi yake zitakuwapo na CAG alipaswa kuzikagua hesabu zake kama ilivyo kwa vyanzo vyengine vyote vya mapato.
 
SAWASAWA...
 
Wanasiasa wa kusini mwa jangwa la sahara.....
 
Kweli ni mbunge mmoja tu wa chama kidogo kilichokimbiwa na mafisi watu. Lakini akiwa mmoja tu bungeni, kheri yeye mara 100 kuliko wale wacheza gololi bungeni wakibebwa na watawala. Unataka kumpinga lete ushahidi na jibu hoja, hajawahi kutumia risasi kujibu hoja, wala hanuni tukimpinga mitandaoni na usoni. Muite majina yote sawa lakini usicheze na ubunge wake Mwami wa Kigoma.
 
Kwa usiri unaofanyika katika serikali ya awamu hii, mbabe wao sasa si bunge live, mikutano ya kisiasa, demokrasia na haki kwa cile vyote hivi vihoi kwa kabari ya bwana mkubwa. Lakini CAG na teknolojia vimezifanya jitihada zote za kuupalilia uimla kuwa useless
 
Kwa usiri unaofanyika katika serikali ya awamu hii, mbabe wao sasa si bunge live, mikutano ya kisiasa, demokrasia na haki kwa cile vyote hivi vihoi kwa kabari ya bwana mkubwa. Lakini CAG na teknolojia vimezifanya jitihada zote za kuupalilia uimla kuwa useless
 
leo nipo free ni mwendo wa kukesha kijiweni:
sports update;
Liverpool are not trying to sign Matthijs de Ligt despite reports & Jürgen Klopp has no plans to strengthen at centre-back as he's happy with the depth in that position. Transfer priorities for LFC are full-back cover & a versatile attacker. (James Pearce)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…