Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

teh teh usingizi hupotezwa na stress za njaaa.

kuna walevi fulani mitaa fulani ya wahuni walikunywa ulevi wa kienyeji ule uliozidi vipimo (gongo kali) a.k.a maziko saa nane mchana.
walikuwa takribani watano waliaoamua kuchukua maamuzi ya kujifungia ghetto ili wauvamie ulevi bila ya kuwashirikisha wanamaskani wenzao.
chezea pombe ya mapapai mabovu na taka taka za pampers za kufungia watoto πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

unaambiwa wanne kati ya wale watano ilipofika saa 7 mchana wote walifariki hapo hapo.
mmoja akawahishwa hospitali ya mnazi mmoja zanzibar basi pona yake akawa kipofu wa maisha halafu akili zikapotea kwa muda.
basi ile kupata unafuu kidogo tu akawa anawauliza masela wake;
oyaaa ndio mumeamua kunizimia taa ili nisiendelee kunywa sio?
acheni ufala bwana niletee mzigo wangu wa kinywaji cha baraka bwanaaa.
washkaji wakamjibu mkuu hatujakuzimia taa bali umeshakuwa kipofu.

πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ•ΆπŸ•ΆπŸ‡πŸ‡πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…