D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
BAK na NDEGE JOHN ni ndugu wawili wasiojuwana.
leo sisubiri majibu: 🏇 🏇 🏇 🏇
leo sisubiri majibu: 🏇 🏇 🏇 🏇
Pombe chagu hazijapimwa 😁 hizo zinaua sana jamaa huko uswaziteh teh usingizi hupotezwa na stress za njaaa.
kuna walevi fulani mitaa fulani ya wahuni walikunywa ulevi wa kienyeji ule uliozidi vipimo (gongo kali) a.k.a maziko saa nane mchana.
walikuwa takribani watano waliaoamua kuchukua maamuzi ya kujifungia ghetto ili wauvamie ulevi bila ya kuwashirikisha wanamaskani wenzao.
chezea pombe ya mapapai mabovu na taka taka za pampers za kufungia watoto 😛😛😛
unaambiwa wanne kati ya wale watano ilipofika saa 7 mchana wote walifariki hapo hapo.
mmoja akawahishwa hospitali ya mnazi mmoja zanzibar basi pona yake akawa kipofu wa maisha halafu akili zikapotea kwa muda.
basi ile kupata unafuu kidogo tu akawa anawauliza masela wake;
oyaaa ndio mumeamua kunizimia taa ili nisiendelee kunywa sio?
acheni ufala bwana niletee mzigo wangu wa kinywaji cha baraka bwanaaa.
washkaji wakamjibu mkuu hatujakuzimia taa bali umeshakuwa kipofu.
🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🕶🕶🏇🏇😛😛😛
Huyo ndege John anauzi wake eti anatupia mambo yake tu na ratiba zake za kila sikuBAK na NDEGE JOHN ni ndugu wawili wasiojuwana.
leo sisubiri majibu: 🏇 🏇 🏇 🏇
Mungu ni mwemaPoa sana, vp za mida?
Mara ya mwisho tunaachana ulikua na mawazo sana hope sasa hv upo freshMungu ni mwema
yule jamaa anajifanya punguani lakini yupo vizuriHuyo ndege John anauzi wake eti anatupia mambo yake tu na ratiba zake za kila siku
Hahah! Humu ndani nilishajifunza kutomchukulia poa mtu yeyote maana hatujuani, kuna watu wamejivuruga ila ukiwafatilia wapo nondo sanayule jamaa anajifanya punguani lakini yupo vizuri
upo sahihi hata mimi ndio sera yangu humu ndani.Hahah! Humu ndani nilishajifunza kutomchukulia poa mtu yeyote maana hatujuani, kuna watu wamejivuruga ila ukiwafatilia wapo nondo sana
😂😂😂😂upo sahihi hata mimi ndio sera yangu humu ndani.
wengi wao huwa wanafanya makusudi ili wapate pressure fulani au tension ya kufuatiliwa mara kwa mara.
kwa mfano ZERO IQ haonekani kama ni kijana mpuuzi anayewaza ngono muda wote kama anavyoigiza.
lakini ukimvamia kijuu juu utasema huyu jamaa anapenda ngono kuliko mbuzi beberu