Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pombe chagu hazijapimwa 😁 hizo zinaua sana jamaa huko uswazi
 
Hahah! Humu ndani nilishajifunza kutomchukulia poa mtu yeyote maana hatujuani, kuna watu wamejivuruga ila ukiwafatilia wapo nondo sana
upo sahihi hata mimi ndio sera yangu humu ndani.
wengi wao huwa wanafanya makusudi ili wapate pressure fulani au tension ya kufuatiliwa mara kwa mara.
kwa mfano ZERO IQ haonekani kama ni kijana mpuuzi anayewaza ngono muda wote kama anavyoigiza.
lakini ukimvamia kijuu juu utasema huyu jamaa anapenda ngono kuliko mbuzi beberu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…