Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Paris, Ufaransa. Neymar amekacha sherehe za kupokea tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka wa Ufaransa na kwenda kuponda raha na mwanamuziki, Rihanna katika klabu za usiku.

Neymar ameonyesha jinsi anavyoweza kufanya kazi kwa bidi na kucheza kwa nguvu wakati alipokuwa katika klabu ya usiku na Rihanna.

Nyota huyo wa PSG wenye thamani ya pauni 198 milioni baada ya kuugua kwa muda mrefu, alitumia muda wake usiku wa jana kupiga picha na mwanamuziki huyo wa Marekani.

Picha hiyo katika ukurasa wake wa Instagram akiwa ameweka kidole mdomoni huku akiwa karibu na Rihanna imeweza kuwavitia followers 187m.

Nyota huyo wa Brazil alindika ujumbe: 'Queen and powerful woman.'
 
Neymar hakuwepo katika sherehe za kutoa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka Union Nationale des Footballeurs Professionnels (UNFP) iliyofanyika jana usiku huku nyota mwenzake wa PSG, Kylian Mbappe akitwaa tuzo mbili.
 
mbappe+pic.jpg
 
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amekabidhiwa tuzo na kuvishwa Medali ya ubingwa wa Ligi Kuu Ubelgiji ‘Jupiler Pro League’ baada ya KRC Genk kupata sare ya 0-0 na Standard Liege katika mchezo wa mwisho wa msimu uliochezwa kwenye Uwanja wa Luminus Arena.
 
Back
Top Bottom