Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Image may contain: sky and outdoor
 
Kabisa Mkuu ila jamaa wako vizuri kwa pesa hivyo inaweza isiwachukue muda mrefu sana.
Sure Bro,

Labda wa C&P kama kawaida yao!

Ila kutengeneza Apps zote, Ant viruses, media players, whatsApp zao, insta na takataka zote zinazoendana na soko si jambo la leo ama kesho.

Apple kwa mfano, wanatumia iOS unaweza kuona si Apps zote za Androids unazikuta.

Inachangamoto zake, ujaongea kuhusu kuimarisha ulinzi n.k n.k
 
Back
Top Bottom