It was midnight as I was walking down the avenue, a something strange was lurking in the dark, under the moonlight I saw something that scared the hell out of me....not far from my gaze......niliiona maiti imelala katika dimbwi la damu.....vinyweleo vilinisisimka na bila kujiuliza nilijikuta nikitimua mbio huku nikipiga yowe kali mara paaap! Nilijikwaa na kutumbukia katika shimo refu sana lenye kiza kinene cha ajabu shimo lile halikuwa na mwisho huwezi amini nilikuwa nazidi kutokomea katika shimo lile ndipo ghafla niliposhtuka na kujikuta nikiwa chumbani, kitandani aisee nilikuwa naota.....moja kati ya ndoto mbaya sana kuwahi kunitokea mimi Kamwene.
Sent using
Jamii Forums mobile app