Ntaufatilia uzi mwanzo mwishoHii kitu inatisha halafu kuna mchangiaji mmoja kwenye huu uzi kadai siku dada yake alipofariki kulikuwa na miujiza lakini hawezi kusema.
safiiGood LIFE
![]()
👍 👍Zima au punguza matumizi ya jokofu
Jokofu ni moja kati ya vifaa vinavyotumia kiwango kikubwa cha umeme. Kupunguza matumizi ya jokofu ina maana kuwa ni kubadili kiwango cha matumizi ya umeme.