Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mme,baby naskia yule kijana toz toz aloamia mtaan majuz et kashatembea na wanawake wote apa mtaan.Kwa muda mfupi2 aloamia,yaan et kawakanda na kuwakamua vya kutosha et? isipokuwa mwanamke mmoja tu? Mke,uyo atakuwa mama Anna2 maana yule mwanamke anajifanyaga kamgumu sn yan anajionaga sana uyo yan kila mwanaume anasemaga et yule mmama ni mgumu,yan anapendaga misifa yule mwanamke we acha2,aisee me ugumu waivo cwezag yan nilishindwaga et kila anaekuja nikatae nisikubal ata mmoja akuu!!! Kipaji chaivo me cnaga baby, Mume,duuh hvi c waga una namba za mshenga wetu nipatie afu nitaftie pen nyeusi na karatasi 3, Mke,khaa! za nn sasa we nae utaniwi,,,,Mume nataka kununua kiwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…