Habari hii siyo nzuri kwa mtu furaniProf. Assad aula, aingia mkataba na Sweden kukagua miradi yote ambayo Tanzania inashirikiana na Sweden
Sweden imeingia mkataba na CAG Prof Mussa Assad ambapo kwa Muda wa miaka 3(2019-2022) atakagua miradi yote Sweden iliyokubaliana kushirikiana na Tanzania.www.jamiiforums.com
Niliusoma mpaka mwisho,ninazipenda hizo story ila hadithi ya huyu bwana jose ni ya kutunga nimeisoma yote FB kupitia googleKuna uzi pia wa mshana jr alipokuwa akifanya kazi mortuary. Unatisha balaa mie niliusoma kiduchu tu nikaamua kuutekeleza. Huwa nikiuona wala siusogelei 😊
Habari hii siyo nzuri kwa mtu furani
Kweli kabisa..ila Tembo hanywi!!Kelele za chura hazimzuwii ng'ombe kunywa maji.
DoohSIFA ZA MWANAUME ASIYE NA HELA:
1. Viatu huisha upande mmoja
2. Kushabikia YANGA
3. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe
4. Kupenda kuvaa suruali zenye rangi ya kung'aa.
5. Kufungua soda kwa meno
6. Kuvaa socks hadi magotini hata kama hayupo mazoezini
7. Anapenda sana kuangalia movie zilizotafsiriwa
8. Kufuta jasho kwa vidole
9. Kupiga miayo hadi machozi yanamtoka.
10. Kuingilia ugomvi hata wa watoto wadogo
11. Kumchukia kila mwanamke anayemiliki gari
12.Kumiliki smartphone iliyopasuka kioo.
13.Akitengewa chakula lazima amalizie kunywa mpaka na mchuzi kwenye kibakuli.
14.Kila mwanamke anayemchangamkia kwake anajua ashapata zari la kupendwa.
15.Wanapenda sana kutafuna vitumbua asubuhi asubuhi bila chai.
16.Akiingia kuoga bafuni, anahakikisha anasugua mpaka ndala akiamini usafi huficha umasikini.
17.Akipanda dala dala lazima ashike nauli mkononi ili isije kudondoka.
18.Wanapendaga sana kukaa siti za dirishani kwenye safari yoyote.
19.Ukiangalia mashati yake mengi utakuta kola za mashati zimeanza kuchanika. [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Leo ndio nmegundua kuwa nami nina pesaSIFA ZA MWANAUME ASIYE NA HELA:

OvaNiseme kwa uwazi, TTCL mmekuwa mkipigwa vita sana, vita zingine sio za uwazi ni vita vya chini chini, hata leo kuja hapa kulikuwa na mbinu za kijanja kijanja kunizuia nisije kupokea gawio, na zimechezwa kwelikweli, hii inathibitisha kuwa nyinyi mnastahili lazima tuwasaidie. - Rais Magufuli.
Kila siku ni siku kuu.Naomba niletewe orodha ya viongozi ambao wanatumia laini za @ttcl_corporation na sio ziwepo tu bila kutumika, huwezi kulipwa mshahara wa Serikali na hutumii mtandao huo, sijamaanisha msitumie mitandao mingine." - Rais Magufuli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui wanakwama wapi.Habari hii siyo nzuri kwa mtu furani
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mme,baby naskia yule kijana toz toz aloamia mtaan majuz et kashatembea na wanawake wote apa mtaan.Kwa muda mfupi2 aloamia,yaan et kawakanda na kuwakamua vya kutosha et? isipokuwa mwanamke mmoja tu? Mke,uyo atakuwa mama Anna2 maana yule mwanamke anajifanyaga kamgumu sn yan anajionaga sana uyo yan kila mwanaume anasemaga et yule mmama ni mgumu,yan anapendaga misifa yule mwanamke we acha2,aisee me ugumu waivo cwezag yan nilishindwaga et kila anaekuja nikatae nisikubal ata mmoja akuu!!! Kipaji chaivo me cnaga baby, Mume,duuh hvi c waga una namba za mshenga wetu nipatie afu nitaftie pen nyeusi na karatasi 3, Mke,khaa! za nn sasa we nae utaniwi,,,,Mume nataka kununua kiwanja