Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane anapambana kupata saini ya kiungo huyo wa Manchester United.
“Nampenda lakini hatabadili nafasi yangu. Nitapigania nafasi yangu hata kama Paul Pogba atajiunga na Real Madrid,”alisema Kroos.
 
Mchezaji huyo alisema yamekuwa yakitajwa majina mengi akiwemo Pogba, lakini hatishiki na ujio wao, badala yake ataendelea kucheza kwa kiwango bora na hana tatizo.
Mbali na Pogba, nyota wa Paris Saint Germain (PSG), Kylian Mbappe alituma ujumbe kwa klabu hiyo unaomuhusisha na mpango wa kutua Real Madrid.
 
duniani kuna wazee ni wabishi kinoma;
mwaka 1995 Tanzania ilishuhudia kufanyika uchaguzi wa vyama vingi kwa mara ya kwanza, macho yote yalielekezwa visiwani zenji kwa sababu ni miongoni mwa maeneo yanayogubikwa na siasa ngumu zinazotokanwa zaidi na ukabila.

ishu iko hivi (ngoja nicheke kwanza 😛 😛 😛 )
kuna mzee fulani alikuwa anaitwa mzee shawishi sinachangu pandu alikuwa na asili ya pemba, huyu mzee alishakuwa ni mtu mzima sana kiasi ambacho alishaanza kupoteza uwezo wa kuona.
kama kawaida yao watu wa pemba wengi wao ni wapinzani wenye msimamo na si wapinzani uchwara kama BAK.

mzee akawa anatamba mtaani hamtambui dokta salmin amour kama ndiye raisi aliyeshinda uchaguzi, ebwana weee siku moja polisi wakapiga mtando (uvamizi) mzito kitaani na mzee akakamatwa na kupandishwa mahakamani.

JAJI : mzee unashitakiwa kwa kosa la kuwashawishi watu wasimtambue dokta salmin kama ndiye mshindi wa uraisi, unakubali au unakataa?
mzee: hapana bwana jaji sijamshawishi mtu bali shawishi ndio jina langu niliopewa na wazazi wangu
JAJI : unakubali kosa au hukubali?
mzee : bwana jaji polisi wameninukuu vibaya, sijasema kama simtambui dokta salmini kama si raisi wa zanzibar,
nimesema simtambui sura yake hivyo basi hata kama atakuja humu mahakamani muda huu sitomtambua kama ni yeye.
JAJI: nyinyi polisi ni wajinga wakubwa, mzee amesema haitambui sura ya salmini hatimaye mumekwenda kumkata, musilete tena kesi za ******* senge kama hizi 😛😛

basi mzee alipoachiwa tu akaendeleza maudhi yake kitaani, simtambui na sitomtambua dokta salmini maisha.🙁🙁🙁
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…