Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Savage [emoji16][emoji16]
20190521_181129.jpeg
 
Today, in a hospital in Krakow, a woman gave birth to 6 children, the first case ever registered in Poland. Cracovia's official twitter account announced that the children will have free lifetime season tickets

hongera kwa kuzaa watoto sita kwa mpigo, nina wasiwasi bwana harusi na bibi harusi walikutana gerezani.
aigoooo siku ya mechi mipira yote ilipasuka, nadhani walitumia korosho kwa mwezi mzima ili waongeze nguvu za kike na kiume.
hongera mwanamama wewe kwa kubarikiwa tumbo kubwa lenye uwezo wa kuhifadhi viumbe sita wakati mmoja.

hongera serikali ya awamu ya 5 kwa kuwawezesha watu wa poland kupata baraka ya watoto 6.
kabudi oyeee
korosho oyeeee
kufyatua oyeeee
vipigo kwa mashangazi zenu oyeee

hivi wanachama wa CCM hamusijikii ovyo kutembelea JF?
muda wote munakutana na maneno ya dhihaka kutoka kwa wapinzani wenu na bado munavumilia.

Numbisa= hana chama, kila sehemu yupo kama njaa na shibe
BAK= chadema muongo aliyevaa vazi la mjomba wake huku akila maisha ya raha marekani
moudgulf =mpinzani uchwara anayeogopa maandamano ya mange kimambi, siku ya maandamano alisingizia tumbo la kuhara
myoyambendi =CCM wa kutupwa ambaye hata ukimchinja damu yake inatoka kijani lakini anajifanya mpinzani
ina maana BAK na myoyambendi ni watumishi wawili wasiojuwana 🏇 🏇 🏇
ngoja nikafutari nipate nguvu ya kujibu mapovu :


View attachment 1103828
Hahahaha comment zako burudani tosha
 
NI hivi, Manchester United imeweka wazi kwamba itakwenda moja kwa moja kwa kiungo Tanguy Ndombele kama supastaa wake, Paul Pogba ataamua kuchukua virago vyake na kuihama Old Trafford.
 
Pogba, aliyenaswa kwa Pauni 89 milioni amekuwa haeleweki kwenye kikosi hicho akidai kwamba ndoto zake ni kwenda Real Madrid jambo linalomfanya Kocha Ole Gunnar Solskjaer kushindwa kufanya mipango yake kwa wakati.
 
Lakini staa huyo wa kimataifa wa Ufaransa ameambiwa kama anataka kutua Bernabeu basi ni lazima aandike maombi ya kutaka kuondoka huku Man United ikiweka wazi mpango wake wa kwenda kumsajili Ndombele.
 
Man United inataka kusajili kiungo kuziba pengo la Ander Herrera, lakini kuhusu Ndombele itakuwa kwenye vita kali dhidi ya Paris Saint-Germain na vigogo wengine kama Real Madrid ambao wanavutiwa na huduma ya staa huyo wa Ligue 1.
 
Kiungo Toni Kroos amesema hatishwi na ujio wa Paul Pogba katika kikosi cha Real Madrid.
Kauli ya Kroos imekuja huku kukiwa na presha kubwa ya Pogba kujiunga na klabu hiyo katika usajili wa majira ya kiangazi.
 
Back
Top Bottom