capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
😀😀Mwanaume anaejua kupika yupo ........ Sana. 😀😀😀😀😀 Sisemiiii
Oh Yeah? Then I am!!
😀😀Mwanaume anaejua kupika yupo ........ Sana. 😀😀😀😀😀 Sisemiiii
[emoji23][emoji23]
Chakula ipi unapenda haswa?Mwanaume anaejua kupika yupo ........ Sana. 😀😀😀😀😀 Sisemiiii
That's great 😀😀😀
Oh Yeah? Then I am!!
Astaghafir
Leta mambo sijui ntasevu unit ngapi?Unaweza kuokoa fedha nyingi ambazo zingepotea kwa kulipia gharama zisizo na sababu za matumizi ya umeme. Hivyo fahamu njia 8 rahisi za kupunguza matumizi ya umeme.
Napenda samaki. Wewe?Chakula ipi unapenda haswa?
Taabu tupuAstaghafir
Me pia napenda samaki! Kwa style zote, chukuchuku/mkavu/wa mchuzi!!Napenda samaki. Wewe?
Mwana kakosa kabisa demu au ni imani za kichawi?Mm
Taabu tupu
😊Ha hah
Napenda ukitabasamu. Nice!!
Napenda mkavu na kachumbari, chukuchuku piaMe pia napenda samaki! Kwa style zote, chukuchuku/mkavu/wa mchuzi!!
Tunajifunza kiinglishi leo.. hiyo subuwei ndio metro? ndio tube?