Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zingatia matuta

Matuta huwekwa katika barabara ili kutawala mwendo. Hivyo kufunga breki ghafla mara ukutapo tuta na kuchochea mwendo ghafla baada ya tuta kutakufanya utumie kiasi kikubwa zaidi cha mafuta.

Unaweza kupunguza mwendo taratibu na kuuongeza taratibu mara ufikapo kwenye matuta ili kuokoa kiasi cha mafuta kinachopotea.
 
I love him so much. He was not perfect but he was a true leader with so much love to Tanzanians and the country as a whole. He was not corrupt and didn’t steal a single cent from government coffers. RIP Mwalimu 🙏🏽

huyu mzee nyerere laiti kama angelikuwa ni kijana chini ya utawala huu wale wazee wasiojulikana wakiongozwa na kachero mkuu BAK wangelikwisha mtoa utumbo mdogo.
mzee nyerere na mdude chadema ni mtu na mjukuu wake wasiotambuana
View attachment 1104124​
 
images (39).jpeg
Level of Insanity=Expert 😂
 
I love him so much. He was not perfect but he was a true leader with so much love to Tanzanians and the country as a whole. He was not corrupt and didn’t steal a single cent from government coffers. RIP Mwalimu 🙏🏽
mzee wa azimio la arusha, si nilisikia nyakati za utawala wake mulifikia hatua ya kula panya kwa sababu ya kuwagomea IMF
 
Back
Top Bottom