AiseePesa zina virusi vya mafua na cocaine
Utafiti umebaini kuwa kutokana na pesa kupita kwenye mikono na sehemu mbalimbali, nyingi zina virusi vya mafua na chembechembe za madawa ya kulevya (cocaine).
Zinaweza kuwa za kweli,nilishaona moudy anaweka humu au shimba. Simba huwa wanacheka etiZile picha zimenichekesha Sana Kuna watu waongo mno 😀😀
Karibu sana jukwaani, hapa ni full mautani.Mimi ni mnyamwezi wa Igunga
@Numbisa mpokee mdogo/mkubwa wako bhana,ndugu kujuana [emoji2][emoji2]Mimi ni mnyamwezi wa Igunga
Mnyamwezi mwingine ni nani humu?Kama ni mnyamwezi,pia tutampatia ndugu yake,yupo pia[emoji2][emoji2]
Alyekum salam bibie,habari ya uzima?Asalam alaykum
Kama hizo post zimefatana au zipo page moja unabonyeza reply pote zinakuja kwenye boks la kutype smsKwakweli sibishi ila Hawachi. Dah!
Alafu nifundishe kuquote post zaidi ya moja kwapamoja, nilikuanaweza kwa app
Priscaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Mnyamwezi mwingine ni nani humu?
😂😂😂Ile comment yangu naifuta wallah haiwezekani ushangae kiasi hiki mpendwaKwakweli sibishi ila Hawachi. Dah!
Alafu nifundishe kuquote post zaidi ya moja kwapamoja, nilikuanaweza kwa app
Aisee Simba huwa anachekaZinaweza kuwa za kweli,nilishaona moudy anaweka humu au shimba. Simba huwa wanacheka eti
Aisee,hata sifahamu juu ya hilo bro,kwa hyo jamaa anakuwa kama pasta sioKila jumapili huwa anakinukisha yaani anakua nakama waumini alafu ngoma zake anazigeuza katika mfumo wa gospel. Hatari tupu.
Najaribu kupandisha clip hapa inagoma
Safi upo mpendwaAlyekum salam bibie,habari ya uzima?
Samatta ana jielewa mungu amjalie afike mbali zaidiKesho tunamalizia mahojiano yetu na Samatta akielezea safari ya Taifa Stars katika michuano ya Afcon pamoja na matazamio mbalimbali ya kikosi hicho ambacho yeye ni nahodha.
PriscaMnyamwezi mwingine ni nani humu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona umejiongeza fastaPriscaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]