Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Usiwaamini sana wanawake mdogo wangu" kichaa mmoja alinambia kisha akatoweka mdogo mdogo na furushi lake.....
FB_IMG_15585171043169963.jpeg
 
Kutengeneza pesa ni taaluma ngumu

Watu wengi wanafahamu kuwa madaktari na wanasheria wanahitaji miaka mingi (5 – 6) kufuzu taaluma zao. Lakini taaluma ya kutengeneza pesa “engraiving” inahitaji miaka takriban 15 ili kufuzu. Hii pia ndiyo sababu ni vigumu kutengeneza pesa bandia ambazo hazitobainika.
 
Back
Top Bottom