Sijaona anayenitania, watu wapoleeee Hadi naogopa.Karibu sana jukwaani, hapa ni full mautani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabla bro hajaniibukia na kaisiki yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona umejiongeza fasta
πππ nimewezaKama hizo post zimefatana au zipo page moja unabonyeza reply pote zinakuja kwenye boks la kutype sms
Aisee tutaongea vizuri πPriscaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo mpendwa,hofu kwako uliyembali na upeo wa macho yanguSafi upo mpendwa
Atakuwa mdogo wangu huyo π@Numbisa mpokee mdogo/mkubwa wako bhana,ndugu kujuana [emoji2][emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabla bro hajaniibukia na kaisiki yake
ππππ iache tu bhana sishangai tena sasa hivi nimezoeaπππIle comment yangu naifuta wallah haiwezekani ushangae kiasi hiki mpendwa
Kuna ujanja mwingine wa kuigawanya post moja kuwa tatu,mbili etc nimeusahau kidogoπππ nimeweza
Aisee tutaongea vizuri π
Not kama Pasta exactly ila anatoa neno la Mungu kwa njia ya burudaniAisee,hata sifahamu juu ya hilo bro,kwa hyo jamaa anakuwa kama pasta sio
Ngumu kujaribuππππ iache tu bhana sishangai tena sasa hivi
Hahah! Wataniaji wapo utawaonaga tu sisi wengine wabebishaji tu