capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
I guess mouth because sabuni itaingia kinywani
They do hamming when they wash their faces! 😀 😀I guess mouth because sabuni itaingia kinywani
Anyway just kidding
Hahahhaa moudy bana. Ruta anafekero 12. Na zinajulikana vizuri tuHahahaha kumbe huwa zinaongezeka!!
Kwahiyo tujue tu mzee Ruta yupo kivingine.
Kuanzia leo nitaanza kutunza hesabu ya likes zake[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na ikiwa hivyo hata fyekero lake litajulikana
AiseeeHahahhaa moudy bana. Ruta anafekero 12. Na zinajulikana vizuri tu
Acha aende zake akasake mafanikioKipa wa Uhispania na Manchester United David de Gea, 28,amekataa kutia saini mkataba mpya na klabu hiyo wakati mkataba wake wa sasa ukitarajiwa kukamilika mwisho wa msimu ujao. (Sun)
Nipo ndugu, yangu, ulezi tuu. Hivi SYB yupoo!????Uko wapi wewe, mpaka uchokozwe[emoji1787][emoji1787]