Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1549217038480.jpeg
 
Hapana mkuu kuna muda unakuta unabanwa na majukumu mpaka unashindwa kutia mguu humu.

Mimi mwenyewe kukosekana humu huwa ni ngumu mno ila kuna kipindi nakata ata mwezi mzima. Au Shimba nae ni mlevi sana wa JF lakini sasa yupo bench kwa muda
kwa hivyo kwa mujibu wa madai yako hiyo likizo munayochukua kwa sababu ya majukumu huwa hamutumii huduma ya internet?
au kuna mbadala wa forum nyenginezo munazokuwa munazitembelea?
 
Back
Top Bottom