capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Usikimbie Mtihani nitakupa majibu pia, sito taka U-fail mtihani huu😕ooh,apo sasa ndo mtihani huanza 🏃♀️
Usikimbie Mtihani nitakupa majibu pia, sito taka U-fail mtihani huu😕ooh,apo sasa ndo mtihani huanza 🏃♀️
[emoji23][emoji23][emoji23] sijui mieKwani huwa zinaongezeka?
Hakika umejua kwenda vizuri na upepo maana somo linazingatiwa, isingekua huu mwezi watu tungezingatia misambwanda tu somo tunalipa like na kupita fasta 😁Mwezi huu ni vizuri kutoa Elimu Bro, najua baada yamwezi huu ustaharabu itakua hakuna😀
aah kumbe utanisadia kabisa🤓Usikimbie Mtihani nitakupa majibu pia, sito taka U-fail mtihani huu😕
AfrikaThis is AfricaView attachment 1104878
Mmh! Muone[emoji23][emoji23][emoji23] sijui mie