Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna viumbe wanaomba ushauri unatamani uwaone live kwanza kabla ya kutoa ushauri
Habari yako CapitalpoolSijambo , na nmekua na siku njema pia. Habari ya kazi?
Nmejiskia vibaya sana.Kuna viumbe wanaomba ushauri unatamani uwaone live kwanza kabla ya kutoa ushauri
Kaburimkuu hapa ni likes only unachelewesha Uzi
Nipo sawa .. mambo?Habari yako Capitalpool
Muda wa Futari!Time is pricelessView attachment 1104881
Kipenda roho x 3,
Kipenda roho hula nyama mbichi,
Kipenda roho haoni wala hasikii,
Akipenda anapenda ohh,
Akipenda hasikii,
Kipenda roho x 2,
Penzi halijui mdudu wala penzi halijui mnyama,
Samaki majini wanazaana,
Kunguru ukiona jioni wanapita kwa wingi wanafunga ndoa,
Kipenda roho x 2
Penzi halina ubaguzi x 2,
Penzi lingekuwa na ubaguzi,
Sisi wabaya tungelia,
Sisi wabaya hatungepata kitu,
Sisi viwete
.Nimejipa likizo wiki hii na ingineyo
[emoji41][emoji41]DAUD ALBERT BASHITE (DAB)
Naam swadaktaaMuda wa Futari!