Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
After so many years of waiting....
Ngoja nitamwambia siku nyingine....Huyo wa chini atanue miguu zaidi
AnategeaNgoja nitamwambia siku nyingine....
InShaaAllah! 🙏Aisee anaweza akarudi tena kwa Mara nyingine jukwaani ishaalah
Huku hali ni Shwari.Nzuri, vipi za huko ulipo?
PriscaNani huyo bro
Hapana mkuu kuna muda unakuta unabanwa na majukumu mpaka unashindwa kutia mguu humu.mimi kukaa siku moja bila ya JF nashindwa.
inawezekanaje mtu anakaa mwaka mzima bila ya kutembelea JF.
kweli binadamu tunatofautiana kwa mambo mengi
Salama bro,habari za muda huu?Hahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787], bro habari yako
Kwani huwa zinaongezeka?Ukitaka kujua yupo uwe unaangalia ongezeko la likes zake(chezea robot fekeros[emoji23][emoji23][emoji23])
Ipo kama hii ambayo mtoto aliliwa na ndegePicha iliyoleta sintofahamu na malalamiko mengi DunianiView attachment 1104843