Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Amin 🙏Mzee Ruta pamoja na sisi wote ni wanadamu, kama binadamu kuna kifo, maradhi na changamoto nyinginezo nyingi.
Mwenyezi Mungu amjaalie Mzee Ruta huko aliko
Amin 🙏Mzee Ruta pamoja na sisi wote ni wanadamu, kama binadamu kuna kifo, maradhi na changamoto nyinginezo nyingi.
Mwenyezi Mungu amjaalie Mzee Ruta huko aliko
😂😂😂😂Hii ndiyo nguvu ya mafyekero, shenzi tyapuView attachment 1104885
Very Nice! Niambukize mimi pia. Nataka kufurahi/mwenye furaha kama wewe!!sanaa😀😀
ooh,apo sasa ndo mtihani huanza 🏃♀️Very Nice! Niambukize mimi pia. Nataka kufurahi kama wewe unavyo furahi!!
😂😂 bro huu ujio wako wa leo naukubali
Mwezi huu ni vizuri kutoa Elimu Bro, najua baada yamwezi huu ustaharabu itakua hakuna😀😂😂 bro huu ujio wako wa leo naukubali