D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
mimi kukaa siku moja bila ya JF nashindwa.Kwakweli kapotea sana ila naimani atakua salama huko alipo, mtu mwingine kapotea ni iceman 3D
inawezekanaje mtu anakaa mwaka mzima bila ya kutembelea JF.
kweli binadamu tunatofautiana kwa mambo mengi