Sawa mi ni mbulula kutokana na wewe unavyoona na tufanye wewe unaakili...jamaa kaandika element but wewe unajua kabisa hujui kiwango cha elimu cha jamaa...watu wengi mtaani ambao hawajaenda shule huwa wanaviandika vitu kutokana na wanavyovisikia na ndo mana wewe umeelewa na ukamrekebisha...but post kama zile watu wanamatatizo na wanatafuta msaada si vizuri kuenda na kuanza kurekebisha maandishi wakati umeelewa....ingekuwa ni ndugu yako anamatatizo akakosea kuandika ungeanza kumrekebisha jinsi ya kuandika??? Any way nahisi nimekukwaza ndugu yangu naomba unisamehe katika maisha ya kila siku tunatofautiana mitazamo....samahani sana...uwe na siku njema