Mwaka sasa umepita, pia huwa namkumbuka huyu jamaa alikua akiingia humu shughuli zote zinasimama kwa muda
Nafuturu vyakula vyetu vya asili, viazi, mihogo, maharage na uji wa kawaida.Una futuru na nini Leo?
Why shughuli zilikuwa zina simama 🤔Mwaka sasa umepita, pia huwa namkumbuka huyu jamaa alikua akiingia humu shughuli zote zinasimama kwa muda
Rutashubanyuma amenipa mashaka sana, maana ni mchambuzi wetu mahili wa soka, kitambo sana sana hatujamuona hapa.Mwaka sasa umepita, pia huwa namkumbuka huyu jamaa alikua akiingia humu shughuli zote zinasimama kwa muda
Alikua anatukeep busy kuanza kulike posts mana alikua anaweka posts kama 300 kwa muda huo huo alafu anaondoka zakeWhy shughuli zilikuwa zina simama 🤔
Kwakweli kapotea sana ila naimani atakua salama huko alipo, mtu mwingine kapotea ni iceman 3DRutashubanyuma amenipa mashaka sana, maana ni mchambuzi wetu mahili wa soka, kitambo sana sana hatujamuona hapa.
Mzee Ruta kama ni mzima wa afya popote ulipo uje utusalimie, angalau roho zetu zitulie
Aisee anaweza akarudi tena kwa Mara nyingine jukwaani ishaalahAlikua anatukeep busy kuanza kulike posts mana alikua anaweka posts kama 300 kwa muda huo huo alafu anaondoka zake