Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
John Terry
Unaweza kuyafakamia kisha unafanya mazoezi ya kufa mtu kujiepusha na sukari, presha, kitambi nkHaya mavyakula ni kujitengezea magojwa mengi mwilini jumlisha kitambi.
Picha nzuri sana.Wakati unalia lia huna Iphone kumbuka kuna watu wanalilia maji na chakula tu....View attachment 1104549
Naam swadakta.Picha nzuri sana.
Karibu sana kwenye nyumba ya furahaHaina shida mkuu
Nani huyo broKama ni mnyamwezi,pia tutampatia ndugu yake,yupo pia[emoji2][emoji2]
Hahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787], bro habari yako[emoji2][emoji2][emoji2] bro
Edited!Zlatan IbrahimovicView attachment 1104617
Wachezaji kama Mwameja, Lunyamila walishindwa kucheza ligi hiyo maana walitaka shot kat,Samatta anaamini kwa kucheza England atakuwa amefungua milango kwa wanasoka wengine wa Tanzania kucheza hapo pamoja na katika ligi mbalimbali za Ulaya. Anakiri kwamba wachezaji wa zamani walishindwa kufungua milango hii na ndiyo maana mambo yamekuwa magumu kwa wachezaji wa Tanzania.
Ni kweli mkuuWakati unalia lia huna Iphone kumbuka kuna watu wanalilia maji na chakula tu....View attachment 1104549