Alikuwa memba maarufu hapaHuyu sweetlee nae kumbe alikua humu kitambo?
Hahaha, hakika ni burudaniHahaha uzuri wa uzi huu kuna kila aina ya burudan hivyo hata hayo mafekero ni burudani tosha.
Mkuu vipi unamjua huyo?Duh! [emoji86][emoji86][emoji86]
Huyo ni mtani wako wa Jadi mkikutana jukwaa lile la povu, kwa sasa amepoteaNadhani Mkuu ila hayupo kwa sasa....,Au?
Huyo ni mtani wako wa Jadi mkikutana jukwaa lile la povu, kwa sasa amepotea