Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah! hiyo kauli yako ya uchochezi sana utadhani umeniona nikibebishaKwa kweli.. endelea kubebisha tu hamna namna
Hahah! hiyo kauli yako ya uchochezi sana utadhani umeniona nikibebishaKwa kweli.. endelea kubebisha tu hamna namna
Niache [emoji23][emoji23][emoji23]Acha ubahili..
Hahahaha, ni burudani tuMahakama ya mafisadi inawahusu hawa!
😂😂😂😂😂😂😂😂 hii code nimeinyaka aisee eti mfuasi wa shetani dah! Mmekumbuka manyoka nyokaPost za anko na bro nilishaziona na nilifuatilia likes za mfuasi wa shetani nikagundua udanganyifu wake, wengine sikuwapitia, hata hivyo hilo halijaniumiza ila nimeishia kuwapuuza wanaotaka likes feki
Wengi sana. Patakua hapatoshi hapa.Una akili sana weye. Nawania sana hiyo namba siyo siri. Nilikaa kimyaaaaa kumbe tuko wengi. 🙉🙉🙉🙉
Hahaha uzuri wa uzi huu kuna kila aina ya burudan hivyo hata hayo mafekero ni burudani tosha.Post za anko na bro nilishaziona na nilifuatilia likes za mfuasi wa shetani nikagundua udanganyifu wake, wengine sikuwapitia, hata hivyo hilo halijaniumiza ila nimeishia kuwapuuza wanaotaka likes feki
😂😂😂😂 anatakiwa mtu mmoja ila kwenye interview mnajikuta 1000Una akili sana weye. Nawania sana hiyo namba siyo siri. Nilikaa kimyaaaaa kumbe tuko wengi. 🙉🙉🙉🙉
Huyu sweetlee nae kumbe alikua humu kitambo?Hapa namkumbuka GeJo, babes, nsamaka,carbamazepine, jakitoo, sweetle, kichwa kichafu, ho chi minh, mzee wa liver, uniq, mzee wa kulazimisha mahari SYB, andjul, hapa palikua full burudani.
NOMA SANA
Hahah walishasahauWalimu ni wito au walisahau hiii kauli[emoji23][emoji23][emoji23]
😀Nimekuona mahala kadhaa ukifanya yako...Vijana mnapenda Makuu nyinyiHahah! hiyo kauli yako ya uchochezi sana utadhani umeniona nikibebisha
Ukishawahi inakuwaje? kuna zawadi? au ushindani tu?Wengi sana. Patakua hapatoshi hapa.
Ila mie nitakaa kando maana nimewahi vya kutosha
Naona aibu kabisa 🙈 🙈. Dah!😀Nimekuona mahala kadhaa ukifanya yako...Vijana mnapenda Makuu nyinyi
Hahah! Record mpendwaUkishawahi inakuwaje? kuna zawadi? au ushindani tu?
Post za anko na bro nilishaziona na nilifuatilia likes za mfuasi wa shetani nikagundua udanganyifu wake, wengine sikuwapitia, hata hivyo hilo halijaniumiza ila nimeishia kuwapuuza wanaotaka likes feki
Wengi sana. Patakua hapatoshi hapa.
Ila mie nitakaa kando maana nimewahi vya kutosha