Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wengi sana,kulikua na vituko vya kila aina. Kituko kimoja utakoshuhudia mbeleni kinaitwa mbioooo,yaani ikikaribia post ya milion uyashangaa zinaibuka ID ngeni ngeni uzi utakua fasta sana ili mradi kila mmoja anataka rekodi ya kuikamata post ya million.

Kuna wwngine hawachat ila wanamwaga likes kama robot vile,wanaibuka na kupotea

Mbebishano hehhehe capitalpool akasome kulikua na wizi wa mabebi humu,utan,ndoa za mikeka etc zaman ilikua raha kuliko siku hizi

Siku hizi mods wamegeuza uzi huu dampa la kutupia nyuzi mbovu mbovu
Hapa namkumbuka GeJo, babes, nsamaka,carbamazepine, jakitoo, sweetle, kichwa kichafu, ho chi minh, mzee wa liver, uniq, mzee wa kulazimisha mahari SYB, andjul, hapa palikua full burudani.
NOMA SANA
 
“I’m very proud to have a diverse and experienced staff; it’s important that this campaign has a wide range of perspectives, voices and backgrounds that reflect the America we live in,” Biden said. “I’m glad to have this growing staff be a part of team Biden as we all work together to unite our nation and rebuild an inclusive middle class for all.”
 
Snagging top Black advisers, such as those who led House Democrats to victories during the 2018 midterms at the Democratic Congressional Campaign Committee (DCCC) and drove the Health and Human Services Department’s’ Affordable Care Act enrollment campaign, is an example of Biden’s commitment to cultural competency.
 
Wengi sana,kulikua na vituko vya kila aina. Kituko kimoja utakoshuhudia mbeleni kinaitwa mbioooo,yaani ikikaribia post ya milion uyashangaa zinaibuka ID ngeni ngeni uzi utakua fasta sana ili mradi kila mmoja anataka rekodi ya kuikamata post ya million.

Kuna wwngine hawachat ila wanamwaga likes kama robot vile,wanaibuka na kupotea

Mbebishano hehhehe capitalpool akasome kulikua na wizi wa mabebi humu,utan,ndoa za mikeka etc zaman ilikua raha kuliko siku hizi

Siku hizi mods wamegeuza uzi huu dampa la kutupia nyuzi mbovu mbovu
Duuh! asante sana, kuhusu post ya M kuna mtu alikua na Moud leo sijui jana aliulizwa mbona kapotea akasema atakuja kwenye post ya M
 
According to Candice Nelson, academic director of the Campaign Management Institute at American University, having people of color on staff for communications is key to a campaign’s success. “Tone is very important to a campaign in terms of messaging,” she said. “If the campaign is reaching out to people of color, they want people of color as part of the campaign.”
 
Wengi sana,kulikua na vituko vya kila aina. Kituko kimoja utakoshuhudia mbeleni kinaitwa mbioooo,yaani ikikaribia post ya milion uyashangaa zinaibuka ID ngeni ngeni uzi utakua fasta sana ili mradi kila mmoja anataka rekodi ya kuikamata post ya million.

Kuna wwngine hawachat ila wanamwaga likes kama robot vile,wanaibuka na kupotea

Mbebishano hehhehe capitalpool akasome kulikua na wizi wa mabebi humu,utan,ndoa za mikeka etc zaman ilikua raha kuliko siku hizi

Siku hizi mods wamegeuza uzi huu dampa la kutupia nyuzi mbovu mbovu
Aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ufisadi upo kila kona bro,
bahati mbaya mnagonga likes bila kuangalia kinachofanyika huko tulikotoka.
Huko ndiko wahusika wakiwa wametulia nyumbani kwao hujimwagia malikes kupitia utitiri wa fyekero wanazomiliki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Mahakama ya mafisadi inawahusu hawa!
 
Daah leo umeumia sana pole. Tushazoea hii mbona bro na anko wanafahamu vizuri tu na walishaongelea hii mpaka kuanzisha msemo mafekero.com.
Post za anko na bro nilishaziona na nilifuatilia likes za mfuasi wa shetani nikagundua udanganyifu wake, wengine sikuwapitia, hata hivyo hilo halijaniumiza ila nimeishia kuwapuuza wanaotaka likes feki
 
Una akili sana weye. Nawania sana hiyo namba siyo siri. Nilikaa kimyaaaaa kumbe tuko wengi. 🙉🙉🙉🙉

Back
Top Bottom