Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23] ufisadi upo kila kona bro,
bahati mbaya mnagonga likes bila kuangalia kinachofanyika huko tulikotoka.
Huko ndiko wahusika wakiwa wametulia nyumbani kwao hujimwagia malikes kupitia utitiri wa fyekero wanazomiliki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hahah! Wewe ni mtu mkubwa humu ndani nimeona page ya kwanza tu ulishatia timu mpaka leo unaendelea kutupokea wageni

Nambie kidogo zamani ilikua vipi humu au wadau walikua wengi sana?
Wengi sana,kulikua na vituko vya kila aina. Kituko kimoja utakoshuhudia mbeleni kinaitwa mbioooo,yaani ikikaribia post ya milion uyashangaa zinaibuka ID ngeni ngeni uzi utakua fasta sana ili mradi kila mmoja anataka rekodi ya kuikamata post ya million.

Kuna wwngine hawachat ila wanamwaga likes kama robot vile,wanaibuka na kupotea

Mbebishano hehhehe capitalpool akasome kulikua na wizi wa mabebi humu,utan,ndoa za mikeka etc zaman ilikua raha kuliko siku hizi

Siku hizi mods wamegeuza uzi huu dampa la kutupia nyuzi mbovu mbovu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ufisadi upo kila kona bro,
bahati mbaya mnagonga likes bila kuangalia kinachofanyika huko tulikotoka.
Huko ndiko wahusika wakiwa wametulia nyumbani kwao hujimwagia malikes kupitia utitiri wa fyekero wanazomiliki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Daah leo umeumia sana pole. Tushazoea hii mbona bro na anko wanafahamu vizuri tu na walishaongelea hii mpaka kuanzisha msemo mafekero.com.
 
Back
Top Bottom