Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1547829650807.jpeg
 
Huu ni Uzi wa likes, ukiangalia kwa makini siku 10 zilizopita likes ulizopata wewe na nilizopata mimi zinafanana au kupishana kidogo sana, ukiona tofauti ya ya likes zaidi 6+ pia itabibi uwajue walionijazia hizo zilizozidi, kama ni wagonga likes wanaojulikana au wamezuka tu kwangu.
Kawaida mafyekero yanamjazia mlengwa
Duh
 
Hahaha eti fair play,humu hamna fair play. Tena siku hizi ni kijiwe cha maarifa zaidi kuliko kusaka likes. Zamani mambo yalikua moto moto hadi raha
Hahah! Wewe ni mtu mkubwa humu ndani nimeona page ya kwanza tu ulishatia timu mpaka leo unaendelea kutupokea wageni

Nambie kidogo zamani ilikua vipi humu au wadau walikua wengi sana?
 
Back
Top Bottom