Hahahaha kwema kabisaHa ha ha
Kwema mkuu?habari za masiku?
Hongera kwa ubingwa !!
Shukrani kwa niaba yao mkuuNawapa hongera
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngosha the don[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1105667
Mambo fresh mkuu,hope umerudi poa tena ndani ya uzi wetu pendwaHahahaha kwema kabisa
Mambo niaje
Jana humu wamemsema weee malkia wake hahahaMambo fresh mkuu,hope umerudi poa tena ndani ya uzi wetu pendwa
Karbu!!
He!! huyo naeBaridi yamfanya afukue kaburi la baba yake kuchukua blanketi
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Joseph Salun (28) mkazi wa Kijiji cha Mwakwaru Ngalitati katika Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro amefukua kaburi la Baba yake mzazi aliyezikwa miaka mitatu iliyopita na kisha kutoa mabaki ya mwili wa marehemu huyo nje ya kaburi. Kwa mujibu wa taarifa...www.jamiiforums.com
Sema baadhi hata sikuelewa vyema,ni kuwa ana mafyekelo ya kutosha si ndioJana humu wamemsema weee malkia wake hahaha
Ndio ya kutosha kufikia one million kabla ya dec.Sema baadhi hata sikuelewa vyema,ni kuwa ana mafyekelo ya kutosha si ndio