Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1bc4d95e4ac5af8dc4369309d80f96ca.jpg
 
Wanasema Mwadui ni kama South Afrika vile,kwani huwezi kuingia ndani ya Mwadui bila kuwa na kibari maalum,wao wanakiita "Gate Pass"

Ukiwa na safari ya kuelekea Mwadui,basi inakubidi utoe taarifa mapema kwa mwenyeji wako akuandalie Pass hiyo,otherwise ukiingia kinyemelea ukikamatwa na Patro,basi miezi sita itakuhusu
 
Back
Top Bottom