Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wana Navy Seals...moja kati ya vikosi hatari Duniani.
11ec049f8f07e375aae288220c119649.jpg
 
Unaambiwa Mwadui wapo vizuri kwa kila kitu,licha ya kuwa na umeme wao na mara nyingi unatumika pale umeme wa Tanesco unapokata,

Pia wana idara ya Maji,haya ni baadhi ya manteki yanasombaza maji safi na salama ndani ya makazi ya mgodi wa MwaduiView attachment 1105624
Nilishatembelea humo ndani jamaa wapo vizuri sana yani kama hawaishi mkoa wa Shinyanga
 
Back
Top Bottom