Kuna watu wana hela jamani!!
300,000 kwa siku..yani unaamka asubuhi ukirudi kulaza kichwa laki tatu imetoka kwa mwenye mjengoo! Walalahoi sie ni Kodi ya miezi sita geto la elfu hamsini. .tena tunawaza kodi ikiisha tutapata kweli? Napiga mahesabu 300,000*30 days=9,000,000 Sasa Fanya kwa miezi 6 6*9,000,000=54,000,000! Kwa...www.jamiiforums.com
Numbisa kwahio umeamua kutuma picha yangu kwa makusudi?Another ngoshaaaa[emoji13][emoji13][emoji13]View attachment 1105671
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeNdio ya kutosha kufikia one million kabla ya dec.
#nikiwekwaignorelistnakugayaaa
Anaelezea wenye hela wanaopangisha au kupanga nyumba kodi laki tatu kwa siku mojaNimeupitia hata sielewi kitu,naona sijui Mboso,kwani kuna nini Prisca
Hizi picha nazi save ujue,kwa matumizi ya baadae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mweee usinidanganye[emoji23][emoji23][emoji23]aiseee
#ignorelisthuwezikuwekwa
Chizi fresh au masharti ya mgangaHe!! huyo nae
Atakua chizi tu huyo..Chizi fresh au masharti ya mganga
Ok poa,nmekuelewaAnaelezea wenye hela wanaopangisha au kupanga nyumba kodi laki tatu kwa siku moja
Hapo swaumu imekaza anaisikilizia vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hudanganyiki PriscaMweee usinidanganye
#nilisotanusumwakaignorelist
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahPale ngosha kaenda kongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1105681