Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Sadio Mane....Silent Killer
Ngosha the don[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1105667
![]()
Baridi yamfanya afukue kaburi la baba yake kuchukua blanketi
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Joseph Salun (28) mkazi wa Kijiji cha Mwakwaru Ngalitati katika Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro amefukua kaburi la Baba yake mzazi aliyezikwa miaka mitatu iliyopita na kisha kutoa mabaki ya mwili wa marehemu huyo nje ya kaburi. Kwa mujibu wa taarifa...www.jamiiforums.com
Jana humu wamemsema weee malkia wake hahaha
Sema baadhi hata sikuelewa vyema,ni kuwa ana mafyekelo ya kutosha si ndio
Maajabu hayaisha jf[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Ndio ya kutosha kufikia one million kabla ya dec.
#nikiwekwaignorelistnakugayaaa
Mweee usinidanganye
#nilisotanusumwakaignorelist
👍👍Afirka bado tuna utawala wa joseon(hope nimepatia spelling)high class ndio wanafaidi zaidi wakifatiwa na kipato cha kati. Wale kajamba nani watajijua wenyewe kwa lundo la kodi na tozo za kila aina