Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Muhimu kufahamu ukigonga mnyama mbugani faini zake* TEMBO = USD 15,000 ~ mil 34.6 NYATI = USD 1,900~ mil 4.3 SIMBA = USD 4,900~ mil 11.3 CHUI = USD 3,500~ mil 8 TWIGA = USD 15,000~ mil 34.6 FISI = USD 550~ mil 1.2 NGIRI = USD 450~ mil 1 NYANI = USD 110~ laki 254 PUNDAMILIA = USD 1200~mil 2.7 SWALA = USD 390~ laki 9 ukipata ajali ndani ya mbuga Tsh 200,000 ukizidisha mwendo faini yake ni Tsh . 30,000/= . . Ni muhimu kua na tahadhari uingiapo au upitapo mbuga nyingi *Day speed ni 70km/h na Night speed ni 50km/h.* *Kwa wale mnaommchukulia poa Fisi Angalia pesa utakayolipaa baada ya kumgonga ...*
 
dah inamaana ndovu a.k.a tembo amewekewa bondi kubwa ya hela kuliko mwili wangu.
kuna wajinga walitaka kuniuza kwa shilingi 35000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…