Kwetu bana tuna matatizo ya ndani ndani mpaka tuyaondoe ndo tuanze furahia matatizo ya jiraniakiondoka ndio nafuu yetu kupande fulani, yule kipara ametukalia vibaya sana.
tokea aje yeye ndio wamezidi kutuchapa bakora kama mwalimu wa madrassa
🥇 🥇 🙌🙌Kwetu bana tuna matatizo ya ndani ndani mpaka tuyaondoe ndo tuanze furahia matatizo ya jirani
Ndo maana wanasema kumchukia tajiri ni mateso. Kwa sasa tuchukiane na R.madrid maana nae majanga yake sawa na yetu sema tu ligi aliyopo papaa kaiweka mfukon,wapigwe wasipigwe kwenye uefa wapo tu.🥇 🥇 🙌🙌
ondoa kwanza kigae jichoni kwako.
ahsante sana