Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ili uweze kuondoa sumu mwilini mwako ni vyema ukaepuka vyakula hivi kwani huwa vina viini vinavyojenga sumu mwili. Jizoeze kula vyakula vya kuchemsha zaidi tena vya asili. Matunda na mbogamboga zisizo na madawa zitakufaa zaidi.
 
Marafiki wanaweza kukupotosha bila wao wenyewe kujua na bila kuwa na nia mbaya ya aina yoyote ile; na wanaweza kuwa washauri wazuri kwa sababu wanakujua vizuri unapokuwa na huzuni, na wanakujua vizuri unapokuwa na furaha pia.

Kwa mfano; rafiki yako anaweza kukushauri kusomea uhasibu wakati Mungu amekupangia utawala, au anaweza kujua aongee na wewe wakati gani kulingana na tabia yako ya kubadilikabadilika.
 
Maadui wanasaidia kujua kipaji ulichopewa na Mungu – ukifanya kitu ambacho si cha kawaida katika maisha yako halafu ukawa na maadui ujue hicho ndicho Mungu alichokupangia kufanya, hivyo usikate tamaa – na mashabiki wanasaidia kufanya kipaji chako kiwe na uhai.”
 
Kunywa maji mengi

Ni dhahiri kuwa miili yetu imejengwa kwa maji asilimia 70, hivyo kunywa vinywaji kama vile soda na sharubati (juice) za viwandani kunaongeza sumu mwilini.

Ni muhimu kufahamu kuwa ufanyaji kazi wa viungo kama vile figo hutegemea kwa kiasi kikubwa uwepo wa maji ya kutosha mwilini. Hivyo maji yakikosekana ni dhahiri kuwa sumu nyingi sana hazitaondolea mwilini kwa njia ya msingi ya haja ndogo.
 
..
604a7a7878405b336b08e1584cefbd32.jpeg
 
Fanya mazoezi

Watu wengi hasa Waafrika hawana utaratibu wa kufanya mazoezi. Kufanya mazoezi kutakuwezesha viungo vyako vya mwili kufanya kazi ipasavyo. Ni dhahiri pia unapofanya mazoezi utatokwa na jasho; na hii ni njia nzuri ya kutoa taka mwilini ikiwemo sumu zilizoingia katika mwili wako. Unaweza kufanya mazoezi ndani au hata nje kutegemea vile unavyopendelea.
 
Punguza mafuta

Inawezekana unapenda kula vyakula vyenye mafuta mengi; hili si jambo zuri kwa ajili ya afya yako. Jizoeze kupunguza ama kuepuka mafuta katika vyakula vile unavyokula kwani si aina zote za mafuta zinafaa kwenye mwili wako.
 
Punguza mafuta

Inawezekana unapenda kula vyakula vyenye mafuta mengi; hili si jambo zuri kwa ajili ya afya yako. Jizoeze kupunguza ama kuepuka mafuta katika vyakula vile unavyokula kwani si aina zote za mafuta zinafaa kwenye mwili wako.
 
Hivi leo yapo mafuta yasiyo halisi yanayozalishwa viwandani, hivyo kula mafuta haya ni kuongeza sumu mwilini mwako. Pia ulishaji mbaya wa wanyama umepelekea mafuta ya wanyama kuwa na viambata vyenye sumu ambavyo havifai mwilini mwako – Kwa mfano nguruwe wanapewa ARV na Urea ili wakue haraka.

Jitahidi kuepuka na kupunguza ulaji wa mafuta kadri uwezavyo ili uweze kuondoa sumu mwilini mwako.
 
A.K.A kirefu chake ni 'Also Known As'.
K.K.K kirefu chake ni 'Kadhalika Kikijulikana Kama'.
K.N.K kirefu chake ni 'Kadhalika Nikijulikana Kama'.
K.A.K kirefu chake ni 'Kadhalika Akijulikana Kama'. Kadhalika, unaweza kusema
P.K.K (Pia Kikijulikana Kama),
P.N.K (Pia Nikijulikana Kama) au
P.A.K (Pia Akijulikana Kama).
Tujifunze kuupenda utamaduni wetu, ili vizazi vijavyo visisumbuke.”
 
Back
Top Bottom