capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Safi tu, hofu kwako!Mambo,
Nilikuhitaji hapa kipindi fulani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah!
Umemuona adui kabla hajakuona
Nani tena huyo anamgusa malkia wangu
Nani tena huyo anamgusa malkia wangu
Hata usijali.Safi tu, hofu kwako!
Sorry nimechelewa kufika
Nami nashukuru [emoji4] kwa kujali.Hata usijali.
Nafurahi tu vile kusikia hujambo.
🙂🙂🙂Nami nashukuru [emoji4] kwa kujali.
Niwatakie usiku mwema wana jukwaa
Curry[emoji459]
😂😂 umeona wasukuma?![]()
Nimefanya kazi au kuishi na Watu hawa. Ni Hatari sana, usipokuwa makini
Katika maisha yangu baada ya kumaliza chuo nmebahatika kufanya kazi na makabila kadhaa makubwa nchini. 1. Wachaga - hawa wanachapa kazi sana ,wanajituma wanapoona kuna nafasi ya kupiga au kupata pesa wanaweza jipendekeza vizuri sana kwa boss au mtu ambaye anaweza waletea mafanikio. Ni wezi...www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeona😂😂 umeona wasukuma?