Jamaa anastress
😂😂😂 Daah[emoji818][emoji818][emoji2]
Amin 🙏Mwenyezi Mungu muumba tujaalie kila la kheri usiku na mchana wa siku hii[emoji120][emoji120][emoji120]
Hii nahisi ilikua ni Ile michuano ya EuroSouth Africa 2010.
Germany vs Italy
Habari yako mkuu?Amen Mkuu 🙏🏽
ukisikia watabiri wa ukweli ndio hawa:
ameanzisha thread hii miaka 7 iliopita na asilimia 75 ya maandishi yake yamekuwa sahihi.
Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa
Kwa nini nimeamua kusema hivi? Kuna mambo matano (5) makuu yananilazimisha kusema kuwa: "Tanzania itatawaliwa kidikteta" Ni vigumu sana kwa mtu asiyeona mbali kunielewa kirahisi na pia ni rahisi sana kwa anayependa demokrasia kunibeza na kuniona kama naota. 1. Kwanza kuna uwezekano mkubwa...www.jamiiforums.com