D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Mambo haya yanatisha. Wengine wanakuambia eti ile kutenda dhambi huku ukijua kuwa ni dhambi ( mf. Kumnyandua demu ambaye siyo mke wako) tayari ni kumkufuru Roho Mtakatifu na kujikabidhi rasmi kwa shetani...na kwamba dhambi hiyo haisameheki. Nani atakwenda mbinguni sasa?Shetani na wafuasi wake wako kifungoni sasa hivi kwa sababu dhambi walizotenda hazisameheki. Dhambi ya kumkana Mungu na kumkubali Shetani haisameheki. Kwa maneno mengine, ukimuuzia Shetani roho yako, jina lako halitaandikwa katika kitabu cha uzima litaandikwa katika kitabu cha mauti. Kama itakubidi kuuza roho, usimuuzie Shetani
Kwa kuangalia tu uso wa gari yake, inaonekana jamaa alikuwa full speed pamoja na maonyo ya kila aina huko Mikumi. Bila shaka jamaa watakuwa wamemkomalia balaa !!!Sad.
Mkuu mambo ya imani yapo shaghalabaghla.Mambo haya yanatisha. Wengine wanakuambia eti ile kutenda dhambi huku ukijua kuwa ni dhambi ( mf. Kumnyandua demu ambaye asiye mke wako) tayari ni kumkufuru Roho Mtakatifu na kujikabidhi rasmi kwa shetani...na kwamba dhambi hiyo haisameheki. Nani atakwenda mbinguni sasa?
Mkuu mambo ya imani yapo shaghalabaghla.
naamini Mungu anasamehe pindi unapoelekea kwake kuomba msamaha.
baadhi ya wanazuoni wanamtafsiri Mungu kama ni mwenye sifa za mwanadamu kwa kujawa na sifa za ukatili mkubwa sana kwa viumbe wake na asiyefahamu msamiati wa kuomba msamaha
Dhambi hii itaangamiza wengi. Na ile ya kutamani tamani. Na kusema uwongo...Mungu na Atusaidie kwa sababu hakuna namna...Kiungo cha binadamu kinachofanya watu waongezeke hatukupewa ili tukitumie kwa anasa za ulimwengu huu. Tulipewa kwa ajili ya kuongezeka tukiwa katika taasisi rasmi ya ndoa, kama upendo wa Mungu
Mungu alipomuumba Adamu na Hawa amri ya kwanza aliyowapa ni kufanya mapenzi, ili waijaze dunia, wakiwa katika taasisi ya ndoa. Hivyo, mapenzi nje ya taasisi ya ndoa ni dhambi inayostahili aibu.
nimekumbuka nukuu za uongo za mzee mugabe, kama mungu alitaka tusifanye mapenzi kabla ya ndoa si angelitupa nyeti zetu za kutolea haja ndogo siku ya ndoa zetu?Dhambi hii itaangamiza wengi. Na ile ya kutamani tamani. Na kusema uwongo...Mungu na Atusaidie kwa sababu hakuna namna...