Safi kabisa mzee wa pwani, Vipi huko kwema?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]habari yako bro
SYB is back( mf. Kumnyandua demu ambaye siyo mke wako)
Muumba ananisimamia vyema namshukuru 🙏Poa Mkuu namshukuru Mwenyezi Mungu. Vipi wewe hali yako Mkuu?
Ni nini mpendwa?😆😆 jamani
Naam naam ndugu tupo pamoja