mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mambo niaje
Wanaamini mwanamme ndio mwenye kumshawishi mwanamke lakini kumbe ata wanawake wanatushawishi sanajamani hizi sheria ziangaliwe upya, watu wamefanya mapenzi mara nne bila ya kufungana kamba kama ng'ombe wanavyopandishiwa halafu dhambi inamuangukia mwanamume peke yake.
Polisi Wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa inamshikilia mwanafunzi wa kidato cha pili, Venance Kasolo (17) kwa kosa la kumpa ujauzito mwanafunzi mwenzake anayesoma kidato cha kwanza.
Mwanafunzi huyo, alikiri kumpa ujauzito mwanafunzi mwenzake wanayesoma pamoja katika Shule ya Sekondari Kirando, akidai kuwa wamefanya tendo la ndoa mara nne
ilipaswa mwanamke akitoka kujifungua apewe miaka miwili alee mtoto wake baadae na yeye atumikie kifungo kama mwanamume.Wanaamini mwanamme ndio mwenye kumshawishi mwanamke lakini kumbe ata wanawake wanatushawishi sana