Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

jamani hizi sheria ziangaliwe upya, watu wamefanya mapenzi mara nne bila ya kufungana kamba kama ng'ombe wanavyopandishiwa halafu dhambi inamuangukia mwanamume peke yake.

Polisi Wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa inamshikilia mwanafunzi wa kidato cha pili, Venance Kasolo (17) kwa kosa la kumpa ujauzito mwanafunzi mwenzake anayesoma kidato cha kwanza.

Mwanafunzi huyo, alikiri kumpa ujauzito mwanafunzi mwenzake wanayesoma pamoja katika Shule ya Sekondari Kirando, akidai kuwa wamefanya tendo la ndoa mara nne
 
Wanaamini mwanamme ndio mwenye kumshawishi mwanamke lakini kumbe ata wanawake wanatushawishi sana
 
Nyumbani naishi jirani na mwanamama mkristo kwa zaidi ya muongo mmoja, nazungumza naye, akiwa na shida sijawahi kumkatalia msaada na mambo mengine mengi, Sielewi kwa nini wengineo wanajiingiza kwenye visasi vya kijinga.

Raia mmoja wa Tanzania amehukumiwa kifungo cha miaka 110 gerezani kwa kushiriki ugaidi nchini Kenya.
Abdul Harun Karim alikamatwa kwenye kisiwa cha Kiwayu jimbo la Lamu akirekodi video ya maeneo lengwa kwa niaba ya wanamgambo wa kigaidi wa Al Shabab.
Alihukumiwa kwa makosa 6 yanayokiuka sheria kali dhidi ya ugaidi zilizopitishwa mwaka wa 2012.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…