D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
anatangaza boxer, HONGERA KWAKE
Hahahahawaafrika hatuibi maandiko bali tunachukua [emoji14] [emoji14] 😛
Swaumu chaliiiDooh hili zigo sio poa
IndeedJosé Mourinho: “Losing another European final would be tough for Klopp”
Hahaha Perez anazinguaNumbisa mjomba wako muliyegombana anajifanya janja sana kama muhindi wa kariakooo.
Mauricio Pochettino: "We will train at Valdebebas, but we won‘t sleep there, we asked, but Florentino Perez did not let us. Florentino said 'if you want to train Madrid, then you can sleep there'..."
mzee hachelewi kumshawishi eriksen asaini klabuni madrid, hongera daniel levy kwa maamuzi yako
mukipoteza jose mourinho atarusha tena dongo.Indeed
Bro kaipiga kombora swaumu yangu. Eh Mungu anisameheSwaumu chaliii
June mosi tutawaka motomukipoteza jose mourinho atarusha tena dongo.
klopp ametumia hela nyingi na ubingwa amekosa na bado amevumiliwa [emoji14] [emoji14] 😛
kakutana na mwehu daniel levy, anaijua fitina ya usajili kuliko aliyeweka faini za kumuua mnyama mbuganiHahaha Perez anazingua
ninachokiomba mechi isimalize mapema kama ilivyokuwa fainali hizi:June mosi tutawaka moto
HahahahhaBro kaipiga kombora swaumu yangu. Eh Mungu anisamehe
Safi kabisa. Na akimkimbilia neymar inakula kwake maana pale ni bomu linalosubiria kulipukakakutana na mwehu daniel levy, anaijua fitina ya usajili kuliko aliyeweka faini za kumuua mnyama mbugani
View attachment 1106539