Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

dana dana zinaendelea kama kawaida, yuko wapiii la professeri le kabudi bin korosho bin makinikiyya bin balimi serengeti bin vipigo kwa mashangazi zenu bin kulala na nyinyi mbele.
watatoa tu kishika uchumba chetu(goodwill) wala msijali my citizeni ship by birthi endi registration​

Kampuni ya Barrick Gold Corporation imetoa ombi la kununua hisa zote za Acacia ili kuwa na sauti moja kwenye mazungumzo yanayoendelea pamoja na Serikali kutokana na mzozo uliodumu kwa miaka 2
-
Taarifa iliyotolewa na Makamu wa Rais wa Uhusiano wa Umma wa Barrick, Deni Nicoski ilisema kampuni hiyo imekutana na Menejimenti ya Acacia na kuwasilisha pendekezo hilo la kununua asilimia 35 ya hisa ambazo haizimiliki
-
Ili kufanikisha ununuzi wa Acacia inayokadiriwa kuwa na thamani ya Dola Milioni 787, Barrick imependekeza kubadilishana hisa zake na wamiliki wachache wanaobaki Acacia ambao wanamiliki hisa zenye thamani ya Dola Milion 285 za Marekani
Heche amesema professor wa hovyo kupata kutokea
 
Hapa duniani kuna watu wawili tu: Mungu na wewe! Wengine wote, vingine vyote, wako au viko kisogoni mwako. Nje ya macho yako kuna Nuru. Nuru hiyo ndiye Mungu. Wengine wote, vingine vyote, ni akisi ya taswira ambazo ziko ndani yako; ambazo unatakiwa kuziona nje ili uone umekosea sehemu gani, na uweze kurekebisha dunia yako ya ndani.
Amun Ra
 
Hakuna magonjwa. Magonjwa yote yamo akilini mwetu. Ukitaka kulithibitisha hilo nenda hospitali yoyote ya Dar kisha toa tangazo la sauti kwamba Al-Shabaab wako nje watalipua jengo zima kwa mabomu. Asilimia 95 ya hao unaosema ni wagonjwa watakimbia hadi Bagamoyo.
Sio kila mgojwa hawezi kutembea ama kukimbia ujue😀😀😀

Na hakika watao shindwa kukimbia ni wale walio ktk chumba cha uangalizi maalum.
 
Miriamu dada yake Musa na Haruni alipofariki huko Kadeshi katika mwezi wa kwanza wa mwaka wa arobaini wana wa Israeli walikosa maji. Miriamu ndiye aliyekuwa baraka ya maji ya wana wa Israeli jangwani, kwani Mungu aliwapa neema ya kisima cha maji popote pale walipopita kwa sababu ya Miriamu. Miriamu alipofariki, baraka hiyo ilifikia kitembo. Hivyo wana wa Israeli wakajikuta hawana maji.
Mkuu upo vizuri kwenye maandiko kama mm
 
Hakuna hela ya lodge...no problem...
tapatalk_1558631997009.jpeg
 
Hapo alitenda dhambi
Wana wa Israeli walipoendelea kulalamika kuhusu maji na mambo mengine, Mungu alimtokea Musa na Haruni katika hema. Alimwambia Musa awakusanye watu kisha aseme na mwamba mbele yao, kwamba maji yangetoka na watu na wanyama wao wote wangekunywa.

Musa na Haruni walipofika kwenye mwamba husika, badala ya kuongea na mwamba kama walivyoagizwa, Musa akaupiga mwamba huo kwa fimbo mara mbili, maji mengi yakatiririka kwa kiasi cha ajabu! Fimbo ile haikuwa kwa ajili ya kupigia mwamba, ilikuwa kwa ajili ya kukusanyia watu.
 
Lakini Mungu akawakasirikia Musa na Haruni. Kwa nini? Kwa sababu waliasi kinyume cha neno lake pale kwenye maji ya Meriba! Mungu alimwambia Musa aongee na mwamba lakini yeye akaupiga mwamba huo, tena akaupiga fimbo mara mbili. Mungu akamwambia Musa na Haruni akasema, kwa sababu hawakumwamini hawangeweza kufika katika Nchi ya Ahadi.
Yap alifia jangwani
 
He said: “All prime ministers, in the end, take responsibility for what happens on their watch, but I think that it’s undeniable that suddenly and unexpectedly becoming prime minister after the seismic shock of the Brexit referendum meant that she was dealt an extremely difficult hand to play. And the truth is that having an election a year later, which cut the Conservative party’s majority, then [made it] impossible.”
 
Kile alichokifanya Musa na Haruni hakikuwa na makosa machoni pa wanadamu; hakikuwa na makosa machoni pa Mungu pia! Lakini mtu mwenye haki yukoje? Mwenye haki ni yule ambaye siku zote yuko tayari kuumia kwa ajili ya watu wengine. Hata kama tendo analotaka kufanya kuwasaidia wengine litamkasirisha Mungu yuko tayari amkasirishe ili Mungu huyohuyo awabariki wengine.

Sisi wote ndivyo tunavyotakiwa kuwa. Tunatakiwa kuwa na upendo usiokuwa na masharti yoyote; na tunatakiwa kuwa tayari kufa kwa ajili ya maisha ya wenzetu.
Ningefurahi jiwe apitie hapa
 
The culture of accepting one’s failures and calling it a quit. I wish we had this culture in our beloved country instead of this stupid culture of letting someone to stay in power for 10 years continuously without taking into consideration about his/her mediocre performance.

He said: “All prime ministers, in the end, take responsibility for what happens on their watch, but I think that it’s undeniable that suddenly and unexpectedly becoming prime minister after the seismic shock of the Brexit referendum meant that she was dealt an extremely difficult hand to play. And the truth is that having an election a year later, which cut the Conservative party’s majority, then [made it] impossible.”
 
Back
Top Bottom