Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mke tu mtu unahama, ije iwe chama? Na mke ulichagua mwenyewe, hukuchaguliwa na wananchi.

Vivyo hivyo: mume tu mtu unahama, ije iwe chama? Na mume ulichagua mwenyewe, hukuchaguliwa na wananchi.

Kuhama chama ni haki ya mtu ya msingi kabisa ya kidemokrasia. Lakini kumbuka, kuvunja mkataba lazima ulipe.
 
Watu badala ya kumwomba Mungu wanamwamrisha. Mtumwa hawezi kumshauri bwana wake, sembuse mwanadamu kumwamrisha Mungu?

Mungu anasema katika Isaya 45:11, “Bwana, Mtakatifu wa Israeli, na Muumba wake, asema hivi; Niulize habari za mambo yatakayokuja; mambo ya wana wangu, na habari ya kazi ya mikono yangu; haya! Niagizeni.” Lakini je! Hivyo ndivyo Mungu anavyomaanisha?

Kwamba tumwamrishe yeye? Mungu anamaanisha tupeleke shida zetu kwake kwa sababu hakuna mungu mwingine isipokuwa yeye. Kama hatajibu, shida zetu hazitajibiwa.
 
Pierre Nkurunziza
Oh! Nimepata tabu kidogo kukumbuka, imenibidi nitafute kwa picha.. Nilidhani hayo yanatokea Congo!

Hope Congo wanaendelea vizuri sasa.

ksjwd.jpg


Africa tutatoka?
 
Kwa sababu Isaya 45:9-10 inasema, “Ole wake ashindanaye na Muumba wake! Kigae kimoja katika vigae vya dunia! Je! Udongo umwambie yeye aufinyangaye; Unafanya nini? Au kazi yako, Hana mikono? Ole wake amwambiaye baba yake, Wazaa nini? Au mwanamke, Una utungu wa nini?”

Unaona? Mungu hawezi kuwa mtumwa, nasi hatuwezi kuwa Mungu. Mungu ataendelea kutuamrisha, nasi kupitia Roho wa Mungu tutaendelea kuomba kile Mungu alichopanga tupate.
 
Hakuna magonjwa. Magonjwa yote yamo akilini mwetu. Ukitaka kulithibitisha hilo nenda hospitali yoyote ya Dar kisha toa tangazo la sauti kwamba Al-Shabaab wako nje watalipua jengo zima kwa mabomu. Asilimia 95 ya hao unaosema ni wagonjwa watakimbia hadi Bagamoyo.
 
Magonjwa yote tunayoyaona watu wakiugua au sisi wenyewe tukiugua yako ndani ya akili zetu. Tunayaona nje, ya akili zetu, ili tuwe na uhusiano na magonjwa hayo, kusudi tuone ni wapi tumekosea, ili tujirekebishe kwa ndani. Kwa hiyo kama mtu anaumwa malaria ujue ndani ya akili yako kwamba malaria ni ugonjwa mbaya, na ujirekebishe kwa maana ya kujikinga na mbu wanaosababisha malaria. Hiyo ndiyo asili yetu. Hivyo ndivyo Mungu alivyotuumba na alituumba hivyo kwa manufaa yetu.

Ukiona mtu anaumwa au wewe mwenyewe unaumwa ujue ni ujumbe kutoka ndani unaokusihi ubadilike, uwe kama Mungu anavyotaka uwe.
 
Ni kweli zinatakiwa kufanyiwa marekebisho makubwa wanao demand katiba mpya wako sahihi tutaweka viraka vingapi
jamani hizi sheria ziangaliwe upya, watu wamefanya mapenzi mara nne bila ya kufungana kamba kama ng'ombe wanavyopandishiwa halafu dhambi inamuangukia mwanamume peke yake.

Polisi Wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa inamshikilia mwanafunzi wa kidato cha pili, Venance Kasolo (17) kwa kosa la kumpa ujauzito mwanafunzi mwenzake anayesoma kidato cha kwanza.

Mwanafunzi huyo, alikiri kumpa ujauzito mwanafunzi mwenzake wanayesoma pamoja katika Shule ya Sekondari Kirando, akidai kuwa wamefanya tendo la ndoa mara nne
 
Kile alichokifanya Musa na Haruni hakikuwa na makosa machoni pa wanadamu; hakikuwa na makosa machoni pa Mungu pia! Lakini mtu mwenye haki yukoje? Mwenye haki ni yule ambaye siku zote yuko tayari kuumia kwa ajili ya watu wengine. Hata kama tendo analotaka kufanya kuwasaidia wengine litamkasirisha Mungu yuko tayari amkasirishe ili Mungu huyohuyo awabariki wengine.

Sisi wote ndivyo tunavyotakiwa kuwa. Tunatakiwa kuwa na upendo usiokuwa na masharti yoyote; na tunatakiwa kuwa tayari kufa kwa ajili ya maisha ya wenzetu.
Lakini pamoja na hayo bado Mungu alimuadhibu Musa! Hakuingia Kaanani nchi walioahidiwa.

Somo zuri sana, nafuatana nawe.
 
DED munataka kupindisha sheria, kuna raia wapo nchini na hawana haki ya kupiga kura na umri wameshafikia.
kinakushinda choo cha kujisafisha mwenyeo utakiweza choo cha kusafishwa kwa mkono wa kizungu​
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaangalia uwezekano wa watanzania wanaoishi nje ya nchi kuweza kupiga kura katika uchaguzi ujao wa mwaka 2020
Tehetehetehe
 
bwana mbunge alishameza kipolo kizima cha vumbi la congo pamoja na kg 2 za korosho, mizuka ikawa imeshampanda na mama watoto analeta mbwembwe kama neymar anapokuwa na mpira haliyakuwa timu pinzani wanaongoza magoli manne. 🙁 🙁 🙁

Mbunge mmoja wa jimbo la Mississippi nchini Marekani ameshtakiwa kwa kumpiga mkewe hadi kumjeruhi kwa “kuchelewa kuvua nguo wafanye tendo la ndoa”.
Doug McLeod, 58, alikamatwa na maafisa wa polisi kutoka kituo cha polisi cha George County akiwa kalewa chakari.
Aiseee hiyo kali
 
siku ambayo mgombea uraisi wa chama tawala atakapokuwa mahututi kwa ugonjwa wa malaria ndio siku ambayo ngozi nyeusi watatokomeza ugonjwa huu.
kuna tofauti kati ya afrika ya algeria na afrika ya congo

ALGERIA NA ARGENTINA ZASHINDA VITA DHIDI YA MALARIA​
Nchi hizo zimethibitishwa na kutambulika rasmi na Shirika la afya duniani (WHO) kuwa zimetokomeza ugonjwa wa Malaria ambapo katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, hakujaripotiwa hata kisa kimoja cha mgonjwa wa malaria katika nchi hizo
Wamefanyeje hao mpaka wakaweza kutokomeza Malaria?
 
Back
Top Bottom